KUELEKEA mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery amewaahidi mashabiki wa timu hiyo kuwa watafanya maajabu.
Mtanange huo ni maal-um kwa ajili ya ufunguzi wa msimu wa 2020/21 ambapo unatarajiwa ku-pigwa Agosti 30, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Akizun-gumza na Spoti Xtra,Hitimana alisema: “Wachezaji wanaende-lea na ma-zoezi kwa ajili ya kupata muun-ganiko wa timu baada ya kufanya usajili, nawaahi-di mashabiki kuwa tutafanya vizuri katika mtanange huo dhidi ya Simba.”Kocha huyo aliongeza kuwa, kipa wao, Nurdin Balora ameungana na wenzake juzi.
Stori: Leen Essau, Dar es Salaam

