Global Publishers August 28, 2020 4,528 views 0 Comments
SHARE THIS:
MsSANIIwa filamu, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude, amekimbizwa Hospitali ya Magomeni jijini Dar es Salaam baada ya kupata ajali baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda kugongwa na gari la kubeba wagonjwa (ambulance).