Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefika kuomba kura mbele ya mamia ya wananchi wa Maswa mkoani Simiyu.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Picha mbalimbali zikionyesha maelfu ya wananchi katika maeneo ya Kata za Solwa-Maswa, Lamadi-Busega na Itilima wakiwa wamejipanga njiani kusalimiana na mgombea wa Urais wa CCM Ndg, Magufuli akiwa njiani kuelekea Mkoani Mara.


