Trela la lori lapinduka jijini Dar leo
Trela la lori lenye namba za usajili T863 AEF limepinduka mchana wa leo eneo la Polisi Ufundi, Barabara ya Kilwa jijini Dar. Ajali hiyo imetokea baada ya lori lililokuwa likivuta trela hilo kujaribu kukwepa gari dogo lililokuwa likitokea mbele yake.
Muonekano wa trela la lori hilo baada ya kuanguka.
(PICHA: ERICK EVARIST/GPL)