NEC Yaamua Rufaa 616, Wabunge 20 Wapita Bila Kupingwa…
Global Publishers September 19, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekamilisha uchambuzi na kuamua rufaa 616 za wagombea ubunge na udiwani zilizopokelewa, ambapo wagombea ubunge ni 160 na udiwani ni 456 na kwa upande wa wagombea Ubunge waliopita bila kupingwa ni 20.