Kundi la East African Melody usiku huu lilifanya makamuzi si mchezo kabla ya kumpisha Mzee Yusuf ‘Mfalme’ kwenye onesho ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live.
Kama kawa onesho hilo lilihudhuriwa na nyomi la mashabiki.