The House of Favourite Newspapers

Shangwe ya Coke Studio yawafikia wanafunzi wa sekondari ya Makongo‏

0

Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Fid Q akitoa burudani kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Makongo jijini Dar es Salaam, wakati wa tamasha la Coke Studio lililandaliwa na Kampuni ya Coca-cola.

Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Fid Q akiwa amemshikia kipaza sauti mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Makongo jijini Dar es Salaam, Veisi Kakobo wakatia alipokuwa akionyesha kipaji chake cha kuimba wakati wa Tamasha la Coke Studio lililofanyika shule hapo kwa ajili ya kutoa burudani na kuibua vipaji vya kuimba vya wanafunzi.

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari wakimlaki mwanamuziki wa nyimbo kizazi kipya Fid Q wakati alipowasili shuleni hapo kwa ajili ya kutoa burudani wakati wa Tamasha la Coke Studio lililoandaliwa na Kampuni ya Coca-cola.

Mwanamuziki wa  Bongo Fleva anayeshiriki  katika onyesho la Coke Studio msimu huu mwishoni mwa wiki alishiriki tamasha la Coke Studio liiloandaliwa na kampuni ya Coca Cola katika Sekondari ya Makongo mwishoni  mwa wiki ambapo aliwapatia  burudani murua na ushirikiana nao kucheza na kuimba ambapo baadhi ya wanafunzi walionyesha vipaji vyao vya kuimba kwa kushiriki kuimba nyimbo mbalimbali.

 

Leave A Reply