×

Jishindie Simu Bomba ya TECNO Spark 5pro

Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu utakapoingia katika maduka ya TECNO na kufanya malipo (pre-order) ya awali sh.50,000 kwa ajili ya simu bomba ya TECNO spark 5pro.

Ili kuwa miongoni mwa wateja wa kwanza kutumia TECNO spark 5pro unaweza kupre-Order kuanzia tarehe 8/10-16/10/2020 katika mikoa ifuatayo;

Leave a Comment