MSANII Nguli, Diamond Platnumz, leo Oktoba 9, ametumbuiza mbele ya mgombea Urais, Dkt Magufuli, kwenye kampeni za CCM Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam..
Baada ya Shoo hiyo Diamond amerudi kwenye gari lake ambapo amekutana na mashabiki wengi wakimshangilia na wakitaka japo kumgusa na shabiki mmoja alipata fursa hiyo baada ya kuweza kuwapita walinzi wa Diamond..