Mabingwa wa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodocam Tanzania Bara, Simba leo Oktoba 22, 2020 wamekubali kipigo cha kwanza cha 1-0 tangu kuanza kwa ligi hiyo kutoka kwa Tanzania Prinsos katika Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.
Bao la Tanzania Prinsos limefungwa na Mbangula dakika ya 49 kipidi cha pili.

