AKIDA ni Mume wa Wake wawili ambao wamekuwa wake wenza kwa miaka 6 na wameshibana huku wakisaidiana katioka mambo mbali mbali.
Global tv imepiga stori na wake hao pamoja na Akida mwenyewe ambapo amesema kuwa kwa sasa imembidi kila anachonunua anunue vitu sare ili kuwafurahisha pamoja…
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
