MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kata 24 kati ya 25 za udiwani katika jimbo hilo.
Aidha, upande wa ubunge, tume bado inaendelea na majumuisho ya kura, na wamefikia kata ya 14 hivyo si muda mrefu watatoa matokeo ya Ubunge.
Jimbo hilo lina mchuano mkali kati ya wagombea wawili ambao ni Mrisho Mashaka Gambo wa CCM na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasiana Maendeleo (Chadema).
Nunua magazeti kupitia globalapp.co.tz au Application ya GlobalApp Ujishindie Mkwanja hadi Tsh. 100,000/=
iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8
Web: www.globalapp.co.tz
Baada ya kununua jaza fomu hii bila kusahau jina lako kamili, kumbukumbuku namba ya manunuzi na namba ya simu uliyotumia kununua. Kwa Tsh 300 tu, utakuwa umejiweka kwenye nafasi ya kujipatia zawadi ya simu mpya na mkwanja mpaka 100,000 kila wiki. Nunua sasa uzawadiwe!
Kujaza fomu bofya hapa ===> https://bit.ly/3oB6AO7
