Chenge ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa uchaguzi wa Spika bungeni
Global Publishers November 17, 2015 0 Comments
SHARE THIS:
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Thomas Kashilila asubuhi hii amemteua Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge kuwa Mwenyekiti wa uchaguzi wa Spika wa Bunge unaofanyika leo bungeni.