MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Jimbo la Rombo, Godwin Chacha, amemtangaza Profes Adolf Mkenda wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti cha ubunge wa jimbo hilo, kwa kupata kura 48,122 kati ya kura 61,111 zilizopigwa.
Waliojiandikisha 146,170
Kura zilizopigwa 61,111
Kura halali 59,895
Kura zilizokataliwa 1,216
Matokeo
Jubereta Joseph (CUF) – kura 107
Michael Kimario (TLP) – kura 167
Joseph Roman Selasini (NCCR) – kura 416
Japhet Marck (ACT Wazalendo) – kura 1,564
Patrick Asenga (Chadema) – kura 9,519
Faustine Mkenda (CCM) – kura 48,122.
View this post on Instagram