×

Bulaya Chali Bunda Mjini, CCM Yanyakua Jimbo

Ester Bulaya amepoteza jimbo la Bunda Mjini baada ya kushindwa na Robert Maboto wa CCM aliyepata kura 31,129 huku Bulaya akipata kura 13,258

Leave a Comment