×

Rais Mwinyi Ateua Mwanasheria Mkuu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Haji alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.

Picha: Maktaba

Leave a Comment