Habari Vodacom Waja na Simu Mpya za Tecno Camon 16s kwa Bei Nafuu Last updated Nov 25, 2020 0 Share Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania PLC, George Lugata akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wa simu mpya aina ya Tecno Camon 16s iliyozinduliwa ambayo itakayopatikana kwa bei nafuu kwenye maduka yote ya Vodacom nchini huku ikiwa na GB 96, ikiwa ni sehemu ya kuwapatia wateja punguzo katika msimu huu wa sikukuu. Meneja Uhusiano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya (kulia) na Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania PLC, George Lugata wakionesha simu mpya aina ya Tecno Camon 16s iliyozinduliwa ambayo itakayopatikana kwa bei nafuu kwenye maduka yote ya Vodacom nchini huku ikiwa na GB 96, ikiwa ni sehemu ya kuwapatia wateja punguzo katika msimu huu wa sikukuu. Mwanahabari wa TBC, Gervas Mwatebela (katikati) akipokea simu mpya aina Tecno Camon 16s kutoka kwa mabalozi wa simu hiyo, Elizabeth Michael (Lulu) na Jihan Dimack (kushoto) mara baada ya kujishindia kwenye droo iliyochezeshwa kwa wanahabari. Eric Mkomoya akisisiza jambo wakati akiielezea simu hiyo. 0 Share