×

NEC: Majina ya Mdee, Wenzake Tuliletewa na Mnyika

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema ilifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Novemba 19, 2020.

Leave a Comment