×

Mama Mzazi wa Petit Man Afariki Dunia – Video

 

MAMA Mzazi wa Petit Man Wakuache, amefariki dunia jana Desemba 6, ambapo alikuwa amelazwa hospitali ya Muhimbili. Petit Man amethibitisha kifo cha mama yake na kusema kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika Desemba 9, 2020.

 

Leave a Comment