×

Maazimisho Ya siku 16 Kupinga Ukatili Yafanyika Kibiti

Mkurugenzi wa Wilaya ya Kibiti,Mkoani Pwani, Mohamed Mavura akiongea jambo.

Maazimisho ya siku 16, yafanyika Wilaya ya Kibiti,Mkoani Pwani,ambapo Mbunge wa Wilaya hiyo,Twaha Ally Mpembenwe, pamoja na Mkurugenzi wa Willaya hiyo Mohamed Mavura,walishirikiana pamoja na wananchi kwenye siku hiyo,na kukagua miradi mbalimbali ya wilayani humo.

PICHA NA IMELDA MTEMA | GPL

 Mbunge wa Wilaya hiyo Twaha Ally Mpembenwe akizungumza jambo.
Mbunge na Mkurugenzi wa Wilaya wakizungumza jambo.

 

 

Leave a Comment