×

Inasikitisha! Nilihukumiwa Miaka 30 Jela, Nikashinda Kesi

Maisha ya binadamu yamejaa changamoto nyingi kila kukicha, unaweza ukajikuta siku moja inakuwa nzuri kwako na nyingine inakuwa mbaya sana kulingana na changamoto za maisha.

 

Jina langu naitwa Gabriel, mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka 35. Katika maisha yangu nimekutana na mambo mengi sana, mengine yakanifanya nikate tamaa kabisa ya kuishi ila namshukuru Mungu nilijitahidi kutokata tamaa.

 

Kuna watu wengi wapo katika magereza mbalimbali hapa nchini na wanatumikia adhabu mbalimbali ila siyo wote wanaoteseka gerezani wamefanya mambo mabaya katika jamii zetu.

 

Kuna ambao kweli wamefanya na ni haki yao kutumikia adhabu lakini pia kuna wengine wapo wanatumikia vifungo wakati hakuna chochote walichofanya zaidi ya kuonewa tu.

 

Hayo yote yanatokana changamoto za maisha zinazomkuta binadamu kila siku. Kwa upande wangu, ninao mkasa ambao ningependa kuusimulia ili watu wajifunze kupitia kilichokuwa kimenitokea mimi.

 

Nikiwa na umri wa miaka 28, nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana aitwaye Sharon. Mimi na Sharon tulipendana kwa muda mrefu sana, kwa jinsi tulivyokuwa tunaoneshana mapenzi kuna baadhi ya marafiki zake Sharon walikuwa wananifahamu vizuri mpaka mahali nilipokuwa naishi.

 

Siku moja asubuhi nilimpigia simu Sharon aje nyumbani kwangu, akaitikia wito wangu, akajiandaa na kuanza safari ya kutoka nyumbani kwao, Kibaha kuja Tabata nilikokuwa naishi.

 

Baada ya muda akawa tayari ameshafika nyumbani kwangu, basi tukawa tunapiga stori za hapa na pale na katika maongezi yetu, tulikubaliana kwamba natakiwa kwenda nyumbani kwao, Kibaha ili nikajitambulishe kwa wazazi wake kwa ajili ya kuanza mipango ya ndoa.

 

Tulishinda pamoja siku hiyo mpaka majira ya jioni, akaniaga kwamba anataka kurudi kwao, nikamsindikiza mpaka kituoni, akapanda gari na kuondoka. Huku nyuma nilibaki nikiwa na furaha kubwa sana kwa sababu nilikuwa najua siku siyo nyingi nitaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ili hatimaye mimi na Sharon tufunge ndoa.

 

Ilipofika majira ya saa tatu za usiku, nilichukua simu yangu kumpigia Sharon nikitaka kujua kama amefika salama maana alikuwa kimya sana, jambo ambalo siyo kawaida yake.

 

Nilipiga simu lakini hakupokea, nikahisi pengine kwa kuwa mvua ilikuwa inanyesha, anaweza kuwa amekwama kwenye foleni. Niliendelea kuvuta subira, ilipofika majira ya saa nne za usiku, nilimpigia tena lakini bado simu yake ilikua haipokelewi, nikaamua kulala na kusubiri mpaka asubuhi ndiyo nimpigie tena simu.

 

Kwa bahati mbaya, nilisahau kuchomeka simu yangu kwenye ‘chaja’, nikapitiwa na usingizi, nilipokuja kuamka asubuhi, kitu cha kwanza ilikuwa ni kuchukua simu yangu ili nimpigie Sharon, nikagundua kwamba simu ilikuwa imezima chaji.

 

Nikaichomeka kwenye chaja, nikawa nasubiri iingize kidogo kisha nimpigie Sharon. Nikiwa bado sijatoka kitandani, nikasikia watu mlangoni kwangu wakinambia nifungue mlango.

 

Nilipofungua, nilishtuka kukuta askari wawili wakiwa na rafiki wa Sharon, nikawakaribisha ndani na kuwauliza niwasaidie nini? Askari mmoja akaniambia nisiongee wala kuuliza chochote, nitaenda kujua nitakapofika kituo cha polisi.

 

Walinichukua chini ya ulinzi na kunipakiza kwenye gari, tukiwa njiani ndipo rafiki yake Sharon aliponiambia eti Sharon alifariki jana yake usiku. Nilishtuka kuliko kawaida, nikahisi kama vile naota, sikuamini kabisa nilichosikia.

 

Nilipofikishwa kituoni, nilianza kuhojiwa, nikakiri kwamba namjua Sharon na alikuwa mpenzi wangu. Nikakiri pia kwamba jana yake nilishinda naye nyumbani kwangu na akaondoka jioni kurudi kwao.

 

Nikawaeleza pia jinsi nilivyompigia simu usiku lakini akawa hapokei. Yule askari akaniambia kwamba Sharon alifariki na askari waliokuwa doria ndiyo waliouona mwili wake barabarani, akaniambia eti mimi ndiyo mtuhumiwa wa mauaji ya Sharon na upelelezi unaendelea kufanyika, ukikamilika nitapelekwa mahakamani.

 

Wiki kadhaa baadaye, kweli nilipelekwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwani upelelezi ulibaini kwamba mimi ndiyo mhusika wa kifo cha Sharon. Nilijitetea sana mahakamani na kumueleza hakimu kwamba sijui chochote juu ya kifo cha Sharon lakini haikusaidia chochote, nikapelekwa gerezani.

 

Nikiwa gerezani ndugu na jamaa walikuwa wanatafuta namna ya kunisaidia maana niliwaambia ukweli kwamba sihusiki kwa chochote kilichomkuta Sharon, nikawa najiuliza nani aliyemuua Sharon?

 

Nikiwa gerezani nilikutana na mfungwa mwenzangu tukiwa katika maongezi ndipo nilipomueleza sababu iliyonifanya nifungwe, akanipatia namba ya Dokta Kiwanga na kuniambia kuwa huyo Dokta Kiwanga alimsaidia dada yake kurudiana na mume wake ambaye walikuwa wameachana kwa muda wa mwaka mzima. Akanishauri niwape hiyo namba ndugu zangu ili wampigie kwa namba +254 769404965 ili anisaidie.

 

Nilifanya hivyo, ndugu zangu wakampigia simu na kumueleza matatizo yaliyokuwa yananikabili, akawaahidi kwamba atanisaidia ili ukweli ujulikane na nipate haki yangu ndani ya siku 3.

 

Katika hali ambayo sikuitegemea, siku tatu baadaye mkuu wa gereza alituma askari kuja kunitoa gerezani, nilipofika ofisini kwake nikawakuta vijana wawili, mmoja wao ni John ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa Sharon.

 

Nikaambiwa hao ndiyo wahusika wa mauaji ya Sharon na mimi niko huru. Baada ya kutoka gerezani niliambatana na ndugu na jamaa hadi kwa Dokta Kiwanga kutoa shukrani zangu.

 

Dokta Kiwanga akaniambia anatatua shida mbalimbali kama vile kumrudisha mpenzi, kumfunga mume au mke anayesaliti pamoja na kutibu magonjwa sugu kama presha, kisukari, TB na magonjwa ya zinaa. Unaweza kumpata Dr.kiwanga kwa namba +254 769404965 au tembelea website yao ya www.kiwangadoctors.com.

Leave a Comment