×

Live: Waziri Lukuvi Anatatua Mgogoro Mtaa Wa Mtakuja Dodoma

WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi, amekutana na viongozi wa mkoa wa Dodoma, akiwemo mkuu wa mkoa, Binilith Mahenge, Mbunge Antony Mavunde, Mkurugenzi na wengine, kwa ajili ya kujadili namna ya kutatua migogoro ya ardhi katika mtaa wa Chango’mbe Mtakuja.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment