The House of Favourite Newspapers

Don Jazzy afungukia ndoa yake

0

Screenshot_2015-09-12-18-15-01-1Mwanamuziki Michael Collins Ajereh ‘Don Jazzy’.

MWANAMUZIKI Michael Collins Ajereh ‘Don Jazzy’ amefunguka kuwa, ameachana na mpenzi wake mwaka mmoja uliopita na sasa yuko singo ila atakapoingia kwenye penzi jipya suala la ndoa litakuwa siri.

Bosi huyo wa lebo ya Mavin Records ameliambia Jarida la Encomium kuwa, hilo linaweza kuwa jambo la kuwashangaza mashabiki wake lakini ndivyo alivyoamua.

“Sina mpenzi na hata nitakapompata sitamtangaza na ndoa yangu itakuwa jambo la siri sana, siyo lazima watu wajue,” alisema Don Jazzy.

Leave A Reply