×

Makaburini: Mwili wa Mama MC Pilipili Wazikwa Dodoma – Video

MWILI wa Mama wa Msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Mc Pilipili, umefanyiwa ibada ya mazishi leo Desemba 23, na kuzikwa nyumbani kwao jijini Dodoma.

Leave a Comment