×

Wakurugenzi Wakalia Kuti Kavu, Silinde Awapa Maagizo – Video

NAIBU waziri wa nchi, ofisi ya Rais – Tamisemi, David Silinde, ametoa maagizo kwa wakurugenzi wote nchini waliopewa fedha shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya, kupeleka taarifa kwenye ofisi yake juu ya ujenzi wa shule hizo kama umekamilika, na kama haujakamilika ni kwanini.

 

Leave a Comment