Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi, amewasili nchini hii leo Januari 11, 2021, katika ziara yake ya siku mbili wilayani Chato, yenye lengo la kudumisha undugu baina ya nchi ya Tanzania na Msumbiji.