×

Ligi Kuu Kurejea Februari 13, 2021

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kwamba mbilinge za VPL mzunguko wa 19, zitarejea dimbani Februari 13, 2021, huku mechi za viporo zikianza kuchezwa Februari 4, 2021.

Leave a Comment