×

Rayvanny Ft Jah Prayzah – Sound From Africa (Official Audio)

Staa wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ ameachia album yake ya “Sound From Africa na Ikiwa haijamaliza hata siku tangu iachiwe album hiyo tayari imeshafikisha wasikilizaji milioni 3 kupitia mtandao wa kusikilizia muziki “Audiomack” .

“Sound From Africa” imeachiwa rasmi asubuhi ya Februari 1, 2021 ikiwa na nyimbo 23 zilizowakutanisha wasanii wengi wa kimataifa.

Leave a Comment