MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize leo Feb 14, 2021 ameachia wimbo wake wa “All Night”. Huu ndio wimbo wake wa pili kwa mwaka 2021.