The House of Favourite Newspapers

Maureen aachiwa huru baada ya kutekwa nyara

0

maureen_ihuaMsanii wa filamu anayekimbiza Nollywood, Maureen.

MSANII wa filamu anayekimbiza Nollywood, Maureen Ihua ameachiwa huru baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana.

Taarifa kutoka kwa mwandishi mmoja wa habari nchini Nigeria aliyekuwa akimtumia meseji Maureen bila ya kupata majibu, aliweka wazi kuwa kwa sasa ameshapatikana na ameshazijibu meseji zake zote.

Maureen alitekwa nyara pande za Bandari ya Harcourt, Nigeria mwishoni mwa wiki iliyopita.

Leave A Reply