×

#Exclusive: Omotola wa Bongo “Nimezaa na Mnigeria” – Video

GLOBAL TV Online imefanya mahojiano na mrembo Lulu ambaye amekuwa akifananishwa na nguli wa tasnia ya Filamu nchini Nigeria, Omotola, ambapo amekiri ndoto yake kubwa kuonana na staa huyo.

 

Hapa nimekuwekea mahojiano hayo ambapo ‘Omotola’ amedai kuwa amezaa mtoto na mwanaume wa Nigeria kwa sababu ya Omotola orijino. Kwa nini amefanya hivyo? Tazama video hii.

 

Leave a Comment