×

Live: Mwili wa Balozi Kijazi Waagwa Mara ya Mwisho

Ibada ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiendelea katika Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Parokia ya Mt. Augustino Manundu Korogwe.  Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa na viongozi wengine wa Serikali wameshiriki katika ibada hiyo.

Leave a Comment