×

Nabii Bendera: Corona Tunaishinda kwa Mbinu – Video

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufunuo, Mchungaji Paul Bendera ameiasa jamii ya Watanzania kutokuwa na hofu kuhusu ugonjwa wa corona badala yake wananchi wachukue tahadhari za kujikinga na kufanya maombi ili Mwenyezi mungu atuepushe na janga hilo kama ilivyoelekezwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Leave a Comment