STAA wa Bongo Fleva na Balozi wa Benki ya CRDB, Harmonize, usiku wa kuamkia leo Frbruari 25, 2021 amefika katika uzinduzi wa App ya SimBanking uliofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam akisindikizwa na mpenzi wake, Kajala.