MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga SC, Mshindo Msola, amewaeleza mashabikiwa klabu hiyo kuwa ukarabati wa vyumba vya wachezaji umeanza kufanyika ikiwa ni juhudi za kupunguza gharama kwa wachezaji kukaa katika hoteli.