UWANJA wa Mkapa
FT: Simba 1-1 Prisons
Dakika ya 90+5 Konde Boy goaal
Zimeongezwa dakika 5
Dakika 90 zimekamilika
Dakika ya 85 Luis anafanya jaribio linaokolewa na Kisubi
Dakika ya 82, Mdoe anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 81 Prisons wanaanua majalo na kuanza safari kwa Manula
Dakika ya 74, Kisubi anaokoa hatari mbili langoni mwake
Dakika ya 73 Prisons wanapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 72 Luis anapiga nje yanlango
Dakika ya 68, Prisons wameweka ukuta chuma

Dakika ya 66 Morrison anaingia anatoka Bwalya
Dakika ya 63 Mugalu anafunga mwamuzi anasema ameotea
Dakika ya 60 Nyota wa Prisons anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 57, Chikwende anatoka anaingia Chama
Dakika ya 55 Kimenya Gooool
Dakika ya 54 Prisons wanapata faulo nje kidogo ya 18 baada ya Wawa kucheza faulo
Dakika ya 53 Kisubi anaonyeshwa kadi ya njano pamoja na daktari wa Prisons
Dakika ya 51 Kisubi anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 48 Kisubi anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 45 Bocco ndani Mzamiru nje
Kipindi cha pili
Simba 0-0 Tanzania Prisons
Mapumziko, Uwanja wa Mkapa
Dakika 45 zinaongezwa dk 3
Dakika ya 43, Jumanne Elifadhil anaonyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Mzamiru Yassin
Dakika ya 36 Luis anapiga kona ya pili haileti matunda kwa Simba baada ya Mugalu kupiga kichwa off target

Dakika ya 34 Nurdin Chona anatoka anaingia Dotto kwa Prisons
Dakika ya 32 mchezaji wa Prisons anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 28, Mugalu anakosa penalti
Dakika ya 27 mwamuzi anatoa penalti kwa Simba
Dakika ya 25 Mugalu anachezewa faulo
Dakika ya 24 Manula anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 20 Tshabalala anachezewa faulo na Jeremiah Juma
Dakika ya 18 Luis anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika 15 zinakamilika kwa timu zote kuwa sawa bila kufungana. Ni mpira wa nguvu nyingi na akili nyingi uwanjani
Dakika ya 14 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 12 Jeremiah Juma anafanya jaribio nzuri akiwa nje ya 18 linaokolewa na Manula
Dakika ya 10 Prisons wanapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 9 Mkude anacheza faulo
Dakika ya 6, Bwalya anafanya jaribio nje ya 18
Dakika ya 4, Wawa anacheza faulo