×

Naibu Waziri Katambi Alivyotembelea Global Group – Video

 

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Patrobas Katambi, jana Machi 10, 2021, ametembelea ofisi za Makampuni ya Global Group ambapo ameridhishwa na uendeshwaji pamoja na utendaji kazi wa makampuni hayo jambo lililomfanya kummwagia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group ambaye pia ni Mbunge wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo sambamba na kuwapongeza wafanyakazi kwa uchapakazi wao.

 

Leave a Comment