
MKUU wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kwa masikitiko makubwa yeye na mkoa wake wamepokea kwa masikitiko makubwa kuhusu kifo cha Rais Magufuli.
Aidha RC Chalamila ametangaza dua maalum itakayofanyika uwanja wa Sokoine kesho Machi 19, 2021, kwa ajili ya kumuombea Rais Magufuli.