×

Kampeni Meneja wa Magufuli Chato Afunguka – Video

GLOBAL TV imefika wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo ndipo alipozaliwa na kukulia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, kwa lengo la kuzungumza na watu mbalimbali wanaomfahamu.

Leave a Comment