×

Diamond, Zuchu Watua Chato Kumzika Magufuli – Video


WANAMUZIKI wanaounda kundi la ‘Tanzania All Stars’ walioimba wimbo wa ‘LALA SALAMA’ wamefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya kushiriki kwenye mazishi ya Hayati Magufuli.

Leave a Comment