×

Fursa kwa Wasanii Global TV Online

Global TV Online inatoa fursa kwa wasanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva na Gospel kutumia jukwaa lake kuonesha kazi zao za muziki, hivyo kujitangaza na kuweza kufikia malengo waliyojiwekea. Tunafahmu kwamba siyo wsanii wote wenye uwezo wa kuendesha You Tube Chanel zao, kwa kulitambu hilo, uongozi wa Global TV unapokea Video au audio za nyimbo mbalimbli (Bongo Fleva na Gospel) kwa ajili ya kuzitumia kwenye matangazo yake yanayorushwa saa 24 kwa siku.

 

Kama unahitaji wimbo wako kutumika kwenye You Tube Chanel yetu inayofuatiliwa na zaidi ya watu milioni tatu duniani kote, tutumie wimbo wako kwa email:

 

[email protected]

Leave a Comment