Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize leo Aprili 23, 2021 ameachia kolabo yake na Mwanamuziki wa Kongo, Awilo Longombana na Msanii wa muziki wa Bongo Bolingo, Hamis Ramadhani maarufu kwa jina la H. Baba.