Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili, 23 2021 amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dodoma.