×

Video Bunge: Mawaziri Wawekwa Kikaangoni, Kipindi Cha Maswali Na Majibu


NI Mkutano wa 3, kikao cha 19, Bunge la 12, umeendelea Bungeni leo Aprili 28, ambapo Mawaziri wameendelea kutoa majibu ya maswali ya wabunge katika nyanja mbalimbali. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment