×

Mwenyekiti Chadema Atimkia CCM – Video


Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa amerudi nyumbani. Amesema kuwa amerudi CCM kuunga mkono juhudu za maendeleo zinazoletwa na chama hicho.

Leave a Comment