The House of Favourite Newspapers

Mizengo Pinda akabidhi rasmi Ofisi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Majaliwa na Pinda (5)Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akipokea taarifa ya makabidhiano ya Ofisi ya Waziri Mkuu kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuujijini Dar es salaam Novemba 30, 2015.

Majaliwa na Pinda (6)Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea taarifa ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Waziri Mkuu Mtaafu, Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Maka Kikula.

Majaliwa na Pinda (7)Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea taarifa ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Waziri Mkuu Mtaafu, Mizengo Pinda kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 215. Watatu Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Maka Kikula.Majaliwa na Pinda (1)Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi.

Majaliwa na Pinda (2)Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi.

Majaliwa na Pinda (3)Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florence Turuka aliposoma taarifa kabla ya Waziri Mkuu Mstaafu kukabidhi Ofisi, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015.

Majaliwa na Pinda (4)Waziri Mkuu, Mstaafu Mizengo Pinda akizungumza kabla ya kukabidhi Ofisi kwa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015.

Majaliwa na Pinda (8)Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akifurahia katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florence Turuka baada ya Waziri Mkuu Mstaafu kukabidhi rasmi Ofisi ya Waziri kwa Waziri Mkuu Majliwa , kwenye ukumbi wa Ofisiya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Comments are closed.