×

Rais Samia Atoa Heshima Kwenye Kaburi la Hayati Mzee Jomo Kenyatta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 4, 2021 amekitoa salamu za heshima mara baada ya kuweka shada la maua kwenye Kaburi la Hayati Mzee Jomo Kenyatta Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Kenya lililopo jijini Nairobi nchini Kenya.

Leave a Comment