
Rais Samia leo Mei 15, 2021 amemteua Dkt. Edwin Paul Mhede kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)

Pia Rais amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Salum Rashid Hamduni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). ACP Hamduni anachukua nafasi ya Brig. Jen. John Mbungo ambaye atapangiwa kazi nyingine
