
KAMATI Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Mei, 2021 itawasilisha kwa umma taarifa ya Tathmini ya ugonjwa wa Corona (Covid-19).
Rais Samia atapokea taarifa hiyoya kamati kuanzia saa 9:00 alasiri.