MKUU wa jeshi la polisi, IGP Simon Sirro, amewataka maereva wa bodaboda kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali za barabarani ambazo zinaleta madhara makubwa ikiwemo vifo.